Tazama Picha za Waziri Wasira alipozungumza na Mwananchi wa kijiji cha Iibuga,kata ya Kabanga katika ziara yake wilayani Ngara Mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, November 30, 2013

Tazama Picha za Waziri Wasira alipozungumza na Mwananchi wa kijiji cha Iibuga,kata ya Kabanga katika ziara yake wilayani Ngara Mkoani Kagera.

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Utaribu Bw Steven Wasira akipokea Taarifa/Maelezo kutoka kwa mmoja wa wanakikundi cha ufugaji mbuzi kinacho wezeshwa na TASAF huko Kijiji cha Ibuga kata ya Kabanga wilayani Ngara alipo fanya ziara wilayani Ngara mkoani Kagera (Novemba 28,2013).Picha na Mh.Soud Saidr-Diwani Kata ya Kabanga-Ngara.

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Utaribu Bw Steven Wasira akizunguma na Mwananchi wa  kijiji cha Iibuga ,huku kushoto kwake ni Mkuu wa wilaya ya Ngara Bw Costantine Kanyasu alipo fanya ziara wilayani Ngara mkoani Kagera (Novemba 28,2013).

Mwenye shati la Kijani  ni Bw.Issa Samma(MMEC-Ngara),Bw.John Shimilimana(Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Ngara na Diwani wa Kata ya Kibimba wote walifuatana na Waziri Wasira  kijini Ibuga kata ya Kabanga-Ngara kukagua miradi mbali mbali ya maendeleo.

Waziri wa nchi Ofisi ya Rais, Mahusiano na Utaribu Bw Steven Wasira akiteta jambo na Mwenyekiti wa kijiji cha Iibuga ,Bw. Morisi Ndala alipo fanya ziara wilayani Ngara mkoani Kagera (Novemba 28,2013).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad