Taswira ya Mvua yenye Upepo mkali ilivyoharibu Zaidi ya Nyumba 35 wilayani Kyela mkoani Mbeya. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, November 30, 2013

Taswira ya Mvua yenye Upepo mkali ilivyoharibu Zaidi ya Nyumba 35 wilayani Kyela mkoani Mbeya.

  Kwa mujibu wa taarifa za awali zilizopatikana katika eneo la tukio, zaidi ya kaya thelathini na tano zimeathiriwa na mvua iliyoambatana na upepo mkali katika Kata ya Katumbasongwe Wilayani Kyela. Source:Franco Nkyandwale Kyela.








No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad