PICHA:-Kutana na Mtu Mwenye Mustachi Mrefu Kuliko Wote Duniani, Ameufuga kwa Miaka 32. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, November 09, 2013

PICHA:-Kutana na Mtu Mwenye Mustachi Mrefu Kuliko Wote Duniani, Ameufuga kwa Miaka 32.

Akiwa na umri wa miaka 58 Muhindi mmoja anayekwenda kwa jina la Ram Singh Chauhan anajivunia kuwa mtu mwenye mustachi mrefu kuliko wote duniani, ukiwa na urefu wa futi 14.


Chauhan, ambaye anaishi kwenye jiji la Jaipur ndani ya jimbo la Rajasthan, mustachi huo ni fahari yake kuu. Ametumia miaka 32 kuufuga na kuupa matunzo yaliyoweza kuupelekea kufika hapo.

Cheki picha zaidi hapo chini..........




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad