Mabingwa
Watetezi wa , Ligi kuu soka Vodacom Tanzania bara , Yanga, wanarejea tena kwenye
Ligi wakitoka kwenye kipigo cha 3-2 walichokipata Jumapili iliyopita toka kwa
Azam FC na Jumamosi wapo Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam kuwakaribisha
Ruvu Shooting.
Kichapo
hicho cha Azam FC kimeifanya Yanga ishike Nafasi ya 9 kwenye Ligi ikiwa na
Pointi 6 kwa Mechi 5 baada kushinda Mechi moja, Sare 3 na Kufungwa moja huku
wapinzani wao wa Jumamosi, Ruvu Shooting, wakiwa Nafasi ya 4 na wana Pointi 9
kwa Mechi 5.
Vinara wa
Ligi hii, Simba, wenye Pointi 11, wao watacheza Jumapili na Ruvu JKT ambao wako
Nafasi ya Pili wakiwa na Pointi 9.
Timu za Azam
FC na Coastal Union, ambazo pia zina Pointi 9 kama vile JKT Ruvu na Ruvu
Shooting, zote zipo huko Mbeya ambapo Jumamosi Coastal Union wataivaa Mbeya
City na Jumapili Tanzania Prisons wataikabili Azam FC.
RATIBA VPL 2013/2014.
Jumamosi
Septemba 28,2013.
Yanga SC v Ruvu
Shooting
Rhino
Rangers v Kagera Sugar
Mbeya City v
Coastal Union
Mgambo JKT v
JKT Oljoro
Jumapili
Septemba 29,2013.
Ashanti
United v Mtibwa Sugar
JKT Ruvu v
Simba SC
Tanzania
Prisons v Azam FC
VPL-MSIMAMO:-2013/2014.
NA
|
TIMU
|
P
|
W
|
D
|
L
|
GD
|
GF
|
POINTI
|
1
|
Simba SC
|
5
|
3
|
2
|
0
|
9
|
13
|
11
|
2
|
JKT Ruvu
|
5
|
3
|
0
|
2
|
4
|
6
|
9
|
3
|
Azam FC
|
5
|
2
|
3
|
0
|
3
|
8
|
9
|
4
|
Ruvu Shooting
|
5
|
3
|
0
|
2
|
3
|
6
|
9
|
5
|
Coastal Union
|
5
|
2
|
3
|
0
|
3
|
5
|
9
|
6
|
Kagera Sugar
|
5
|
2
|
2
|
1
|
3
|
6
|
8
|
7
|
Mbeya City
|
5
|
1
|
4
|
0
|
1
|
6
|
7
|
8
|
Rhino Rangers
|
6
|
1
|
4
|
1
|
0
|
7
|
7
|
9
|
Yanga SC
|
5
|
1
|
3
|
1
|
3
|
10
|
6
|
10
|
Mtibwa Sugar
|
5
|
1
|
3
|
1
|
-1
|
4
|
6
|
11
|
JKT Oljoro
|
5
|
1
|
1
|
3
|
-2
|
3
|
4
|
12
|
Mgambo JKT
|
5
|
1
|
1
|
3
|
-8
|
2
|
4
|
13
|
Prisons FC
|
5
|
0
|
3
|
2
|
-6
|
2
|
3
|
14
|
Ashanti United
|
6
|
0
|
1
|
5
|
-11
|
2
|
1
|
VPL: LIGI
KUU VODACOM 2013/2014 MATOKEO YOTE:
Jumatano
Septemba 25,2013.
Rhino
Rangers 2 Ashanti United 0
Jumapili
Septemba 22,2013.
Azam FC 3
Yanga SC 2
Coastal
Union 1 Ruvu Shooting 0
JKT Ruvu 0
JKT Oljoro 1
Kocha Mkuu
wa klabu ya Simba SC,
Abdallah Kibaden.
|
Jumamosi
Septemba 21,2013.
Mgambo JKT 1
Rhino Rangers 1
Tanzania
Prisons 1 Mtibwa Sugar 1
Kagera Sugar
3 Ashanti United 0
Simba SC 2
Mbeya City 2
Jumatano Septemba 18,2013.
Tanzania
Prisons 1 Yanga SC 1
Simba SC 6
Mgambo JKT 0
Kagera Sugar
2 JKT Oljoro 1
Azam FC 1
Ashanti United 1
Coastal
Union 1 Rhino Rangers 1
Mtibwa Sugar
0 Mbeya City 0
Ruvu
Shootings 1 JKT Ruvu 0
Jumamosi
Septemba 14,2013.
Simba SC 2 Mtibwa
Sugar 0
Coastal
Union 0 Prisons 0
Ruvu
Shootings 1 Mgambo JKT 0
JKT Oljoro 1
Rhino Rangers 1
Mbeya City 1
Yanga SC 1
Kagera Sugar
1 Azam FC 1
Ashanti
United 0 JKT Ruvu 1
Jumatano
Agosti 28,2013.
Mtibwa Sugar
1 Kagera Sugar 0
Rhino
Rangers 0 Azam FC 2
Mbeya City 2
Ruvu Shootings 1
Mgambo JKT 1
Ashanti United 0
JKT Oljoro 0
Simba SC 1
Yanga SC 1
Coastal Union 1
JKT Ruvu 3
Prisons 0
![]() |
Mshambuliaji
wa Yanga na timu ya Taifa (Taifa Stars),
Mrisho Ngassa.
|
Jumamosi
Agosti 24,2013.
Yanga SC 5
Ashanti United 1
Mtibwa Sugar
1 Azam FC 1
JKT Oljoro 0
Coastal Union 2
Mgambo JKT 0
JKT Ruvu 2
Mbeya City 0
Kagera Sugar 0
Ruvu
Shooting 3 Prisons 0
Rhino
Rangers 2 Simba SC 2







No comments:
Post a Comment