Taswira ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Simba SC v/s Mbeya City kupata bao la kusawazisha na kutoa sare ya 2-2 . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, September 22, 2013

Taswira ya mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kati ya Simba SC v/s Mbeya City kupata bao la kusawazisha na kutoa sare ya 2-2 .

Simba SC imetoka hoi baada ya Mbeya City kupata bao la kusawazisha na kutoa sare ya 2-2 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam jioni ya leo(Septemba 21,2013).




Mashabiki wa Simba wakishangilia Goli la Pili


Hivi ndivyo Mbeya City Fc Walivyo fanya mashambulizi ya kufunga goli la kwanza





Mashabiki wa Mbeya City Fc wakishangilia Goli lao la kwanza na  Goli la Pili









No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad