Kutokana na Vitisho vya Kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab ,Serikali yasusia Uwanja wa Soka wa Taifa wa Somalia. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, September 27, 2013

Kutokana na Vitisho vya Kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab ,Serikali yasusia Uwanja wa Soka wa Taifa wa Somalia.

Uwanja wa Soka wa Taifa wa Somalia unavyoonekana kwa sasa. Kikundi cha kigaidi cha Al Shabaab kimepiga marufuku soka kuchezwa kwenye Uwanja huo na sehemu nyingine yoyote ya Mogadishu tangu mwaka 2008. Serikali ya Somalia juzi imeingia mkataba na kampuni ya moja ya China
kukarabati miundombinu ya Uwanja huo lakini imeripotiwa kwamba kampuni hiyo inaogopa kushambuliwa na inasita kuanza kazi.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad