Kocha Jose Mourinho apata kipigo cha kwanza katika ujio wake wa pili Chelsea toka kwa Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, September 15, 2013

Kocha Jose Mourinho apata kipigo cha kwanza katika ujio wake wa pili Chelsea toka kwa Everton katika mchezo wa Ligi Kuu ya England.

Kichwa cha Dakika ya 45 cha Steven Naismith kimewapa Everton ushindi wa Bao 1-0 walipoipiga Chelsea Uwanjani Goodison Park na kumpa Jose Mourinho kichapo cha kwanza kwenye Ligi Kuu England.


MATOKEO:
Jumamosi 14 Septemba,2013.

Man United 2 Crystal Palace 0

Aston Villa 1 Newcastle United 2

Fulham 1 West Bromwich Albion 1

Hull City 1 Cardiff City 1

Stoke City 0 Manchester City 0

Sunderland 1 Arsenal 3

Tottenham Hotspur 2 Norwich City 0

Everton 1 Chelsea 0

Kocha Jose Mourinho amepata kipigo cha kwanza katika ujio wake wa pili Chelsea baada ya bao pekee la Steven Naismith dakika ya 45 na ushei kuipa Everton ushinsdi wa 1-0 katika mchezo wa Ligi Kuu ya England Jana 
(Septemba 14,2013).

Straika mpya wa Chelsea, Samuel Eto'o, akicheza Mechi yake ya kwanza, alikosa kufunga baada ya Kiungo mpya wa Everton, Gareth Barry anaetoka Man City kwa Mkopo, kuzuia shuti lake.
Kipa Tim Howard alicheza vizuri kuokoa shuti la Ramires huku Leighton Baines karibu awape Everton Bao baada ya shuti lake kupiga posti.


Premier League Table
Pos.TeamPPts
1Arsenal49
2Tottenham49
3Liverpool39
4Man City47
5Man Utd47
6Chelsea47
7Stoke47
8Newcastle47
9Everton46
10Cardiff45
11West Ham34
12Southampton34
13Fulham44
14Norwich44
15Hull44
16Aston Villa43
17Crystal Palace43
18Swansea33
19West Brom42
20Sunderland41

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad