Dereva ,Bi.Nusura Manguluko
(28) hapa kazi na sala na anamuomba Mwenyezi Mungu kabla ya Kuanza safari.
|
Hapa kazi sasa imeanza.
|
![]() |
Ni Basi la Kampuni ya Ndenjela ambalo ni la kisasa na Safari
zake Mkoani Mbeya na Jiji la Dar es Salaam kila siku.
|
No comments:
Post a Comment