![]() |
Wakili wa Lady Jaydee, Mabere Marando (kulia)
akimueleza jambo wakili wa viongozi wa Clouds Media Group, Ruge na Kusaga,
Willy Lusajo. Katikati ni mume wa Anaconda, Gadna G. Habash.
|
![]() |
Gadna akiondoka eneo la
mahakama hiyo ya wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es salaam baada ya kesi kuahirishwa. |
![]() |
Gadna na Anaconda wakiwa ndani ya gari lao
muda mfupi kabla ya kuondoka mahakamani.
|
KESI
inayomkabili mwanamuziki wa kizazi kipya nchini, Judith Wambura ‘Lady Jaydee’
a.k.a Anaconda ya kuwakashifu baadhi ya viongozi wa kampuni ya Clouds Media
Group, leo(Agosti 02,2013) imekwama tena kusikilizwa baada ya hakimu aliyeshikilia kesi hiyo
katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni, Athuman Nyamlani kupatwa na hudhuru.
Kesi hiyo imepangwa kusikilizwa tena Agosti 6 mwaka huu mahakamani hapo.
(PICHA :
RICHARD BUKOS / GPL)
No comments:
Post a Comment