Soma Jina lako na Ratiba ya Usaili wa Kazi kuanza Mikoani Tarehe 05 na 06 Agoust,2013. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, August 01, 2013

Soma Jina lako na Ratiba ya Usaili wa Kazi kuanza Mikoani Tarehe 05 na 06 Agoust,2013.

Zoezi la usaili linatarajiwa kuanza mikoani tarehe 5 Agosti, 2013 kwa waombaji ambao tangazo limeonyesha kuwa watakuwa na mtihani wa mchujo na tarehe 6 Agosti, 2013
kwa hatua ya usaili wa mahojiano. 



Katibu wa Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma, Bw. Xavier Daudi amesema ratiba ya usaili kwa mikoani itaanza tarehe 5 na 6 Agosti, 2013 ambao utakuwa ukifanyika katika Ofisi za Wakuu wa Mikoa kama tangazo linavyoonesha. 

 
Amefafanua kuwa ili kila msailiwa kujua mkoa anaotakiwa kufanyia usaili arejee anwani aliyokuwa ameandika katika barua yake ya maombi ya kazi na kujiridhisha kwa kuangalia tangazo husika katika tovuti ya Sekretarieti ya Ajira. Aidha, aliongeza kuwa kwa mikoa ya Simiyu, Shinyanga, Singida, Katavi, Rukwa, Mtwara, Lindi na Pwani hakutakuwa na mtihani wa mchujo hivyo usaili katika mikoa hiyo utafanyika tarehe 6 Agosti, 2013.

 “Naomba kila msailiwa azingatie muda, mahali pamoja na kubeba nakala halisi za vyeti mbalimbali anavyotakiwa kuwa navyo, ili kuepuka usumbufu usiokuwa wa lazima, na pia ni vyema wasailiwa wakafika eneo la usaili mapema zaidi” alisisitiza Daudi.

Daudi amewahimiza Wasailiwa juu ya umuhimu wa kuzingatia maelekezo waliyopewa ikiwemo kubeba vyeti halisi vya kitaaluma, vitambulisho na cheti cha kuzaliwa.

Amefafanua kuwa kwa mkoa wa Morogoro wale wasailiwa ambao kada na majina yao yameonyeshwa kuwa watakuwa na mtihani wa mchujo basi wafike Chuo cha Ualimu Morogoro (Kigurunyembe) tarehe 5 Agosti na wale ambao hawana usaili wa mchujo waende palepale Chuo cha Ualimu Kigurunyembe tarehe 6 Agosti, 2013 kwa ajili ya usaili wa mahojiano badala ya kwenda ofisi za Mkuu wa mkoa kutokana na mabadiliko ya eneo la kufanyia usaili kwa mkoa huo.

Amebainisha kuwa  usaili wa mchujo utafanyika tarehe 5 Agosti, 2013 saa moja kamili asubuhi, ilihali kwa usaili wa mahojiano utafanyika tarehe 6 Agosti, 2013 saa moja kamili asubuhi katika mikoa iliyoainishwa kwenye tangazo hapo chini  kama inavyoonekana katika jedwali.

Aidha, kwa wale ambao majina yanaonyesha kuwa usaili wao utafanyika mkoa wa Dar es Salaam wao usaili wa mchujo utakuwa tarehe 12 Agosti, 2013  na matokeo ya mtihani yatatolewa tarehe 13 Agosti katika Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira. Ambapo usaili wa mahojiano kwa nafasi ambazo si za Maofisa utafanyika tarehe 14 Agosti na kwa nafasi za Maofisa wao watafanya usaili tarehe 15 na 16 Agosti 2013.

Alimalizia kwa kusema kuwa ratiba kamili ya mkoa wa Dar es Salaam itatolewa leo jioni hivyo wahusika waendelee kutembelea tovuti ya Sekretarieti ya Ajira kwa ufafanuzi zaidi.


 

NA
MKOA
KADA
TAREHE YA USAILI WA MCHUJO
TAREHE Y A USAILI WA MAHOJIANO
1
KAGERA
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MVUVI MSAIDIZI  II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIB MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI MISITU II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU MAENDELEO YA JAMII
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
OPERETA WA KOMPYUTA MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI WA KATA III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU II UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
DEREVA II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER  III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
2
GEITA
MVUVI MSAIDIZI II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
POLICE AUXILLIARY
HAKU
NA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHUSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI WA KATA III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MPIGA CHAPA MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MLINZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VIILAGE EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
3
MARA
AFISA MTENDAJI WA KATA III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU II UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
DRIVER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VIILAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MLINZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MVUVI MSAIDIZI II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU MSAIDIZI  MAJI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
POLICE AUXILLIARY
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU MSAIDIZI  UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
4
MWANZA
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA MISITU II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU II  MAENDELEO YA JAMII
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
OPERETA WA KOMPYUTA MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI WA KATA III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU II UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
DRIVER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MLINZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MVUVI  MSAIDIZI II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MPIGA CHAPA MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
 5
SIMIYU
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MPIGA CHAPA MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA  MISITU II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI WA KATA III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
6
KIGOMA
DRIVER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MLINZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU II  BOMBA
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI MISITU II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU  MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MVUVI MSAIDIZI II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU MSAIDIZI MAJI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI  WA KATA III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
7
TABORA
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU II BOMBA
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI MISITU II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI KATA III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
DRIVER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MPIGA CHAPA MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
LABORATORY TECHNICIAN II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MLINZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
8
SHINYANGA
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
POLISI MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI MISITU II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU MSAIDIZI UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI KATA III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
OPARETA WA KOMPYUTA MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MPIGACHAPA MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MLINZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
9
SINGIDA
FUNDI SANIFU MSAIDIZI UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA BIASHARA MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI WA KATA III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU II MAENDELEO YA JAMII
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
10
KATAVI
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI KATA III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
POLISI MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU  MSAIDIZI UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
DRIVER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
11
DODOMA
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI KATA III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU MSAIDIZI UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU  II UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
DRIVER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
MLINZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
POLICE AUXILLIARY
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
12
RUKWA
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA MISITU II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
OPERETA WA KOMPYUTA MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI KATA III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU  UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
DRIVER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MLINZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
13
 MBEYA
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU MSAIDIZI  MAJI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU II  BOMBA
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
OPERETA WA KOMPYUTA MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU MAENDELEO YA JAMII
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
DEREVA  II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI KATA III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MLINZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA BIASHARA MSAIDIZI II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
POLICE AUXILLIARY
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU  MSAIDIZI UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
14
NJOMBE
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU MSAIDIZI MAJI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU II BOMBA
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU II MAENDELEO YA JAMII
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI KATA III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
DRIVER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MLINZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
15
RUVUMA
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
POLICE AUXILIARY
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU MSAIDIZI UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI MISITU II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI KATA III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU II UFUNDI NA UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
DRIVER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA BIASHARA MSAIDIZI II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
16
 IRINGA
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU II BOMBA
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU MSAIDIZI BOMBA
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI MISITU II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
OPARETA WA KOMPYUTA MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI KATA III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU II UFUNDI NA UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
DRIVER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA BIASHARA MSAIDIZI II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MLINZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
17
MOROGORO
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU II BOMBA
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
POLICE AUXILIARY
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI MISITU II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
OPARETA WA KOMPYUTA MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI KATA III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU II UFUNDI NA UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
DRIVER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA BIASHARA MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
LABORATORY TECHNICIAN II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MLINZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
18
MTWARA
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MVUVI MSAIDIZI II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU MSAIDIZI MAJI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU II BOMBA
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU MSAIDIZI BOMBA
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI MISITU II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI KATA III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU II UFUNDI NA UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
DRIVER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MLINZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
19
 LINDI
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU MSAIDIZI MAJI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI KATA III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
DRIVER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
20
PWANI
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MVUVI MSAIDIZI II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU MSAIDIZI MAJI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU II BOMBA
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
POLICE AUXILIARY
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU MSAIDIZI BOMBA
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI MISITU II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
OPARETA WA KOMPYUTA MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXACUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MLINZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA BIASHARA MSAIDIZI II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI KATA III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
DRIVER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
21
MANYARA
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI MISITU II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU II COMMUNITY DEVELOPMENT
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI KATA III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MLINZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
22
ARUSHA
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDI SANIFU II BOMBA
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI MISITU II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
OPARETA WA KOMPYUTA MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI KATA III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
DRIVER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA BIASHARA MSAIDIZI II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MLINZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
23
KILIMANJARO
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU MSAIDIZI MAJI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU II BOMBA
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
POLICE AUXILIARY
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU MSAIDIZI UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI MISITU II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU II MAENDELEO YA JAMII
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
OPARETA WA KOMPYUTA MSAIDIZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI KATA III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU II UFUNDI NA UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
DRIVER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
24
TANGA
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
MTAA EXECUTIVE OFFICER III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
MVUVI MSAIDIZI II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU MSAIDIZI MAJI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU MSAIDIZI UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
KATIBU MAHSUSI III
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI WA OFISI
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
MSAIDIZI MISITU II
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
AFISA MTENDAJI KATA III
05 AGOSTI 2013
06 AGOSTI 2013
FUNDISANIFU II UFUNDI NA UMEME
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
DRIVER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
VILLAGE EXECUTIVE OFFICER II
HAKUNA
06 AGOSTI 2013
MLINZI
HAKUNA
06 AGOSTI 2013

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad