Waziri wa Ujenzi Mh. John Magufuli amebomoa Maghorofa Jijini Dar es Salaam. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, July 05, 2013

Waziri wa Ujenzi Mh. John Magufuli amebomoa Maghorofa Jijini Dar es Salaam.


Waziri wa Ujenzi Mh. John Magufuli, leo(Julai 05,2013)  ametekeleza amri yake iliyotolewa kwa wamiliki wa nyumba zilizoko pembezoni mwa barabara ya Ally Hassan Mwinyi, kwamba wabomoe kwa ajili ya kupisha upanuzi wa barabara hiyo.



Agizo hilo limeanza kwa kubomoa ghorofa la Business Park (Green Acles) lililopo Victoria JijiniDar Es Salam.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad