Tazama Picha mbalimbali na Camera ya Mwana wa Makonda katika Mitaa na Ofisi za Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, July 31, 2013

Tazama Picha mbalimbali na Camera ya Mwana wa Makonda katika Mitaa na Ofisi za Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera.

Muonekano kwa mbali wa Barabara kuu inayounganisha Nchi ya Burundi na wilaya ya -Ngara mkoani Kagera - na Mjini wa Isaka wilayani Kahama mkoani Shinyanga ambayo imekuwa ni msaada mkubwa sana kwa Wananchi wa nchi za Tanzania,Rwanda na Burundi kuitumia katika shughuli za  usafirishaji.


Kwa mbali ni muonekano wa Majengo ya  Shule ya Sekondari ya  Mchungaji Mwema na Makao makuu ya Ofisi za Baba Askofu Severin Niwemugizi,Askofu wa Jimbo kuu Katoliki la Rulenge-Ngara, Mkoani Kagera.

Hili ni Eneo la  Kojifa ambako Wananchi wa Wilaya ya Ngara waliobahatika kupata uhalali wa kumiliki ardhi wameanza  kuliendeleza  eneo hilo  kwa Ujenzi wa Nyumba bora.

Ni muonekano wa baadhi ya  Nyumba za Kojifa  ,ambazo licha ya kuchakaa na kuchoka kutokana na kutofanyiwa marekebisho na maboresha lakini zimekuwa ni msaada mkubwa wa Watumishi na Wafanyakazi wa Serikali na Taasisi nyingine kuishi.

Ni muonekano wa baadhi ya  Nyumba za Kojifa  ,ambazo licha ya kuchakaa na kuchoka kutokana na kutofanyiwa marekebisho na maboresha lakini zimekuwa ni msaada mkubwa wa Watumishi na Wafanyakazi wa Serikali na Taasisi nyingine kuishi.


Kwa mbali ni muonekano wa Majengo ya  Shule ya Sekondari ya Mchungaji Mwema na Makao makuu ya Ofisi za Baba Askofu Severin Niwemugizi,Askofu wa Jimbo kuu Katoliki la Rulenge-Ngara, Mkoani Kagera.





Kwa chini ya Mlima ni Eneo kuu la Machinjio ya Nyama mjini Ngara.


Ni muonekano wa Majengo ya Ofisi ya Idara ya Ukaguzi wa Shule  wilaya Ngara Mkoani Kagera.

Ni muonekano wa Ofisi Kuu za Chama cha Mapinduzi (CCM)  wilaya Ngara Mkoani Kagera.

Ni muonekano wa Majengo ya Ofisi ya Idara ya Elimu wilaya Ngara Mkoani Kagera.

Hapa ni Ofisi ya Idara ya Kilimo na Mifugo wilaya Ngara Mkoani Kagera.

Ni makutano ya Barabara ya kuelekea Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Ngara ,Benki ya NMB mjini Ngara na Mahakama ya wilaya na Kituo cha Jeshi la Polisi wilayani Ngara mkoani Kagera.

Ni muonekano wa Wanafunzi na  Majengo ya  Shule ya Msingi Ngara mjini .

Hii ni mitaa ya kwa Mboya Guest jirani na Duka la Dawa Muhimu za Binadamu la Mama Clara Mjini Ngara.

Salon ya mdau mkubwa wa blog ya mwana wa makonda Sikitu na Max na inaelezwa ni mashabiki wakubwa wa kutupwa wa Washika Mitutu wa jiji la London nchini Uingereza Klabu ya Arsenal FC.

Hapa ni makutano ya  barabara inayokutanisha eneo la mitaa ya Mzee Merichioly na Lango kuu la Kuingia soko kuu Mjini Ngara Ni muonekano wa Majengo ya Idara ya Elimu wilaya Ngara Mkoani Kagera.

Moja ya kivutio kikubwa na Kituo cha huduma ya Mafuta cha Ngara Oil kilichopo makutano(Eneo la Janction) Mjini Ngara,Kituo hicho hutoa huduma zake saa 24 kila siku za wiki.



2 comments:

  1. Mwana wa Makonda umenikumbusha mbali kulingana na hizo picha.Big Up brother.

    ReplyDelete
  2. Usijali na kaa tayari kwa Nyingine kibao uitazame Ngara kwa muonekano wa sasa-imebadilika sana tuuu

    ReplyDelete

Post Bottom Ad