Watu
wameng'ngania takwimu za miaka 20 iliyopita .. Tanzania nchi ya tatu kwa
umasikini Duniani mara Tanzania nchi ya kwanza kwa umasikini Duniani.
Angalia
Orodha ya Nchi masikini kutoka katika macho ya watu wanaoijua Dunia.
Tanzania
haimo kwanye orodha ya nchi 25 masikini zaidi Duniani..
Hii maana
yake imepanda sana katika miaka ya hivi karibuni kutoka nafasi ya 3 hadi nafasi
ya 26!Aidha kwa kasi tuliyonayo tunaendelea kuzivuta nyuma nchi mbali mbali na
kwenda juu zaidi.
Aidha
Tanzania inatajwa kuwa moja kati ya nchi 10 duniani ambazo uchumi wake unakuwa
kwa kasi huku nchi ya Uganda ikiwa nafasi ya 21, Rwanda 25, Burundi nafasi ya 3 na Kenya ikishika nafasi ya 30.
Nchi Tajiri
zaidi Duniani ni Qatar!
No comments:
Post a Comment