Tazama Muonekano wa Basi la Minziro kwetu lililopata na kuua Watu 4 eneo la kona ya Kalongo,kijiji cha Kiziramuyaga Wilayani Muleba mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, June 20, 2013

Tazama Muonekano wa Basi la Minziro kwetu lililopata na kuua Watu 4 eneo la kona ya Kalongo,kijiji cha Kiziramuyaga Wilayani Muleba mkoani Kagera.


 Basi la Minziro kwetu lililopata ajali juzi (Juni 18,2013) na kuua Watu 4 walipoteza maisha papo hapo na wengine wawili badae hospitalini ambapo basi hilo likiwa linatoka Bukoba kwenda Geita kupata ajali eneo la kona ya Kalongo,kijiji cha Kiziramuyaga Wilayani Muleba mkoani Kagera(Picha na Bukoba wadau).


 Basi la Minziro kwetu lililopata ajali juzi (Juni 18,2013) na kuua Watu 4 walipoteza maisha papo hapo na wengine wawili badae hospitalini ambapo basi hilo likiwa linatoka Bukoba kwenda Geita kupata ajali eneo la kona ya Kalongo,kijiji cha Kiziramuyaga Wilayani Muleba mkoani Kagera.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad