Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema wajisalimisha Polisi-Arusha. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, June 20, 2013

Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema wajisalimisha Polisi-Arusha.


Mwenyekiti wa Chadema Mh Freeman Mbowe na Mbunge wa Arusha Mjini Mh Godbless Lema hivi sasa bado wanahojiwa na Polisi baada ya Kujisalimisha kutokana na Maagizo ya Polisi ya kutaka kuwahoji kuhusiana na Tukio la Mlipuko wa Bomu Arusha.



Baada ya Mohojiano hayo wanatarajia kushiriki kuaga mwili wa Marehemu Judith Moshi aliyekuwa Mwenyekiti wa Bawacha Arusha, anayeagwa leo na kutarajia kuzikwa mjini Arusha leo(Juni 20,2013).



  Habari kwa hisani ya chademablog.blogspot.com


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad