|
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Steps, Diresh Solanki akimpa tuzo msanii bora wa kiume katika
tasnia ya filamu nchini Jacob Stevin JB wakati wa utoaji wa tuzo hizo
zilizofanyika jana usiku (Juni 16,2013) na kuhudhuliwa na wasanii wengi nchini ,hii
ni kwa mara ya kwanza steps inaandaa tuzo hizi zitakazokuwa zikitolewa kila
mwaka.Picha na www.burudan.blogspot.com
|
|
Msanii
Stiv Nyerere akipokea Tuzo,wakati wa utoaji wa tuzo hizo zilizofanyika jana usiku
(Juni 16,2013),hii ni kwa mara ya kwanza steps inaandaa tuzo hizi zitakazokuwa
zikitolewa kila mwaka.
|
|
Msanii
Nice Mohamedi 'Mtunis' akipokea tuzo ya Mwaka 2012 zilizoandaliwa kwa mara ya
kwanza na kampuni ya Steps Entatainment tuzo hizi zitakazokuwa zikitolewa kila
mwaka.
|
|
Mtoto
Jenifa akipokea tuzo ya Mwaka 2012 zilizoandaliwa kwa mara ya kwanza na kampuni
ya Steps Entatainment tuzo hizi zitakazokuwa zikitolewa kila mwaka.
|
![]() |
|
Mjumbe
wa Kamati ya saidia Taifa Stars Ishinde, Ridhiwani Kikwete kushoto akimkabidhi
tuzo Haji Adamu kwa niaba ya Jimmy Mponda aliyeshinda msanii bora wa Filamu za
Mapigano wakati wa utoaji wa tuzo hizo zilizofanyika kwa mara ya kwanza nchini
na kuandalia na kampuni ya Steps Picha na www.burudan.blogspot.com
|
|
Mjumbe
wa Kamati ya saidia Taifa Stars Ishinde, Ridhiwani Kikwete wa tatu kushoto
akiwapongeza baadhi ya wasanii wa marehemu Kanumba baada ya kuwakabizi tuzo.
|
|
Mkurugenzi
wa Kampuni ya Steps Dilesh Solanki akifafanua jambo baada ya kumkabizi tuzo
Vicent Kigos 'Ray' ya mwogozaji bora wa filamu nchini kwa mwaka 2012 wakati wa
utoaji wa tuzo hizo zilizofanyika usiku wa kuamkia leo(Juni 16,2013) na kuhuzuliwa na
wasanii wengi nchini hii ni kwa mara ya kwanza steps inaandaa tuzo hizi
zitakazokuwa zikitolewa kila mwaka.Picha na www.burudan.blogspot.com
|
|
Wafanyakazi
wa Kampuni ya Steps wakipokea tuzo yao hapo jana Juni 16,2013.
|
|
Baazi
ya wasanii wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kukabiziwa tuzo zao za kwanza
kwa mwaka 2012 zilizozaminiwa na kampuni ya steps Picha na www.burudan.blogspot.com
|
|
Mpiga
picha Mohamed Aralakia za kava mbalimbali za Kampuni ya Steps akipokea tuzo
yake.
|
Kampuni ya
Usambazaji wa filamu ya Steps Entatainment ya jijini Dar es salaam mwishoni mwa
wiki iliyopita ilitoa tuzo kwa wasanii bora waliofanya vizuri katika tasnia ya
filamu nchini kwa mwaka 2012 ikiwa ni kwa mara ya kwanza kuanzishwa kwa tuzo
hizo.
Akizungumzia tuzo hizo Mkurugenzi wa Kampunu hiyo Direshi Solanki amesema kuwa tuzo hizo watakuwa wakizitoa kila mwaka kwa kuleta maendeleo ya filamu nchini kampuni hiyo iliyojikita katika kusambaza filamu za wasanii wameweka historia ya kuigwa kutokana na kuanzisha tuzo hizo.
Baadhi ya washindi ambao walipatikana katika tuzo hizo wa kwanza ni Stevin Mangendela 'Stive Nyerere', Issa Mussa 'Cloud 112' Mohamed Nurdini 'Chek budi' Nice Mohamed 'Mtunisi' Iren Paul akinyakuwa msanii bora chipkizi wa kike.
Wakati katika kinyanganyiro cha kumpata msanii bora wa kiume alinyakuwa Jacob Stevin 'JB' huku msanii bora wa kike ikienda kwa mwana dada Iren Uwoya.
na msanii bora wa filamu za mapingano ilikwenda moja kwa moja kwa Jimmy Mponda 'Jimmy Masta'.
Wakati katika kipengere cha muhongozaji bora wa filamu kilikwenda kwa vicent Kigosi' Ray' na kampuni yake ya RJ Filamu.
mbali na hivyo kulikuwa na tuzo za heshima kwa wasanii waliofanya vizuri rakini kwa sasa awapo duniani moja ni kwa Stevin Kanumba,Saidi Kilowoko 'Sajuki' John Stefano,Hussein Ramadhani Mkiety,'Sharo Milionea'.
Katika utoaji wa tuzo hizo kulikua na burudani nyingi zikiongozwa na Odama Bendi.

No comments:
Post a Comment