VIDEO:Hatimaye Arsenal waishusha Daraja Wigan Athletic na kuwa Timu ya Kwanza Kushinda FA CUP na Kushuka Daraja. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, May 15, 2013

VIDEO:Hatimaye Arsenal waishusha Daraja Wigan Athletic na kuwa Timu ya Kwanza Kushinda FA CUP na Kushuka Daraja.



FA Cup winner Wigan Athletic was relegated from the Premier League after losing 4-1 to a rampant Arsenal at the Emirates in a game where only three points would save the Latics' top-flight status.


Klabu ya Wigan Athletic  ambao Jumamosi (May 11,2013) walitwaa kombe la FA  kwa kuifunga Manchester City, wameandika Historia mpya Nchini Uingereza  kwa kuwa Mabingwa wa kwanza wa FA CUP kushushwa Daraja Msimu huo huo waliotwaa Kombe baada ya kubamizwa Bao 4-1 na Arsenal  kwenye mechi ya Ligi kuu ,iliyochezwa jana (May 14,2013) kwenye uwanja wa  Emirates .




Wigan Athletic sasa  wanaungana na klabu ya  QPR na Reading kucheza Daraja la chini la  Championship Msimu ujao.




Walcott
Kwa Arsenal huu ni ushindi muhimu mno katika kuwania 4 Bora ili kucheza UEFA Champions League Msimu ujao kwani wameishusha Tottenham toka nafasi ya 4 na wao kuikamata wakiwa Pointi 1 mbele yao huku kila Timu zikimaliza Msimu Jumapili ijayo.




Aidha Timu 4 za juu kwenye Premier League ndizo hucheza UEFA Champions League.




Hata hivyo Jumapili(May 19,2013), ni patashika maana lazima Arsenal, wanaocheza ugenini na Newcastle washinde Mechi yao hiyo kwani wakiteleza na Tottenham akishinda wataikosa UEFA Champions League na kuangukia Europa League msimu ujao wa 2013/2014.



Hadi Mapumziko kwenye Mechi ya Arsenal na Wigan, matokeo yalikuwa Bao 1-1 lakini Kipindi cha Pili Arsenal walicharuka na kushindilia Bao 3.




Bao za Arsenal zilifungwa na Podolski bao mbili, Walcott na Ramsey, na lile la Wigan na Shaun Maloney kwa frikiki safi.







Sergio Aguero and Danny Guthrie
Katika Mechi nyingine, Reading wakiwa kwao walichapwa Bao 2-0 na Manchester City ambao walifunga Bao zao kupitia Sergio Arguero na Edin Dzeko.




Ushindi huu umewahakikishia Man City kukamata nafasi ya Pili.






Jumapili  May,19,2013 mechi za kumaliza Msimu 2012/2013 wa soka nchini Uingereza.




[Saa 12 Jioni]




Chelsea v Everton



Liverpool v QPR



Man City v Norwich



Newcastle v Arsenal



Southampton v Stoke



Swansea v Fulham



Tottenham v Sunderland



West Brom v Man United



West Ham v Reading



Wigan v Aston Villa


Premier League

Matches Home Away Goals
PTS GP Won Drawn Lost Won Drawn Lost Won Drawn Lost GS GA
Legend: PTS: Points    Won: Games Won    Drawn: Games Drawn    Lost: Games Lost    GP: Games Played    GS: Goals Scored    GA: Goals Allowed
1 Manchester United 88 37 28 4 5 16 0 3 12 4 2 81 38
2 Manchester City 78 37 23 9 5 14 3 1 9 6 4 64 31
3 Chelsea 72 37 21 9 7 11 5 2 10 4 5 73 38
4 Arsenal 70 37 20 10 7 11 5 3 9 5 4 71 37
5 Tottenham 69 37 20 9 8 10 5 3 10 4 5 65 46
6 Everton 63 37 16 15 6 12 6 1 4 9 5 54 38
7 Liverpool 58 37 15 13 9 8 6 4 7 7 5 70 43
8 West Bromwich 48 37 14 6 17 9 3 6 5 3 11 48 52
9 Swansea City 46 37 11 13 13 6 8 4 5 5 9 47 48
10 West Ham 43 37 11 10 16 8 6 4 3 4 12 41 51
11 Stoke 41 37 9 14 14 7 7 5 2 7 9 33 44
12 Norwich City 41 37 9 14 14 8 7 4 1 7 10 38 56
13 Newcastle 41 37 11 8 18 9 1 8 2 7 10 45 67
14 Southampton 40 37 9 13 15 6 6 6 3 7 9 48 59
15 Fulham 40 37 10 10 17 7 3 9 3 7 8 47 60
16 Aston Villa 40 37 10 10 17 5 5 9 5 5 8 45 67
17 Sunderland 39 37 9 12 16 5 8 6 4 4 10 41 53
18 Wigan Athletic 35 37 9 8 20 4 5 9 5 3 11 45 71
19 Reading 28 37 6 10 21 4 8 7 2 2 14 41 69
20 QPR 25 37 4 13 20 2 8 9 2 5 11 30 59


May 14 (Infostrada Sports) - Top scorers of the English premier league on Tuesday

Robin van Persie
25 Robin van Persie (Manchester United)



23 Luis Suarez (Liverpool)



20 Gareth Bale (Tottenham Hotspur)



19 Christian Benteke (Aston Villa)



18 Michu (Swansea City)



15 Frank Lampard (Chelsea)



Demba Ba (Chelsea)





14 Theo Walcott (Arsenal)



Edin Dzeko (Manchester City)



Dimitar Berbatov (Fulham)



Rickie Lambert (Southampton)



Romelu Lukaku (West Bromwich Albion)




12 Santi Cazorla (Arsenal)



Sergio Aguero (Manchester City)



Wayne Rooney (Manchester United)




11 Olivier Giroud (Arsenal)



Lukas Podolski (Arsenal)



Daniel Sturridge (Liverpool)



Marouane Fellaini (Everton)



Carlos Tevez (Manchester City)



Adam Le Fondre (Reading)



Steven Fletcher (Sunderland)



Jermain Defoe (Tottenham Hotspur)



Arouna Kone (Wigan Athletic)




10 Juan Mata (Chelsea)


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad