Ujio wa Rais Obama Afrika Juni 26 mpaka Julai 3 Mwaka huu Senegal, Afrika Kusini na Tanzania. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, May 28, 2013

Ujio wa Rais Obama Afrika Juni 26 mpaka Julai 3 Mwaka huu Senegal, Afrika Kusini na Tanzania.


White  House inasema Rais wa Marekani Barack Obama atakwenda Afrika  ambapo atazuru nchi tatu na Safari ya Rais Obama itaanza Juni 26 mpaka Julai 3 na inalenga kudhihirisha mahusiano ya karibu kati ya Marekani na nchi za Afrika, kusini mwa jangwa la Sahara.



Safari ya Rais Obama itaanza Juni 26 mpaka Julai 3 na inalenga kudhihirisha mahusiano ya karibu kati ya Marekani na nchi za Afrika, kusini mwa jangwa la Sahara.


Tayari White  House inasema Rais wa Marekani Barack Obama atakwenda Afrika  mwishoni mwa mwezi wa sita ambapo atazuru nchi tatu.




Katika taarifa , White House  ilisema rais Obama na mke wake Michelle watakwenda Senegal,  Afrika Kusini na Tanzania mwishoni mwa Juni na mapema mwezi Julai.




Utawala wa Rais Obama  unasema Rais huyu wa Marekani atakutana na maafisa wa serikali, viongozi wa kibiashara, asasi za kiraia na makundi ya vijana.




Safari ya Rais Obama itaanza Juni 26 mpaka Julai 3 na inalenga kudhihirisha mahusiano ya karibu kati ya Marekani na nchi za Afrika, kusini mwa jangwa la Sahara.




Rais Obama ambaye baba yake alizaliwa Kenya, alizuru Afrika  mara moja  katika muhula wake wa kwanza, alipotembelelea Ghana mwaka 2009.




Mkewe Michelle Obama pia amesafiri kwenda Afrika Kusini na Bostwana.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad