PICHA:Mwana Mama wa Mjini Mtwara na Boda Boda yake Tuuuuu……… - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, May 16, 2013

PICHA:Mwana Mama wa Mjini Mtwara na Boda Boda yake Tuuuuu………


..........  Pikipiki ilirukiwa fasta na Mwana mama huyu, wasio mfahamu wengi walimshangaa, alivaa Kofia ngumu kisha akapachika pochi yake anapotaka na kisha akaiwasha.

 Huu ni usafiri wake anaoumiliki na huutumia mara zote katika mishe mishe zake.............


Safari ikaanza na gia ziilingizwa... mama huyu ni maarufu sana Mjini Mtwara.


Truuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu........nilikuwa naona vumbi tu linatimka na masihara niliyodhani anafanya kumbe ndio alikuwa akiondoka na huo ndio usafiri wake.(Picha Na:Faza Kidevu).

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad