PICHA: `The Bavarian`, Bayern Munich Mabingwa wa Bundesliga Na Bingwa ligi ya mabingwa Barani Ulaya Na bonge la Sherehe. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, May 27, 2013

PICHA: `The Bavarian`, Bayern Munich Mabingwa wa Bundesliga Na Bingwa ligi ya mabingwa Barani Ulaya Na bonge la Sherehe.


Baada ya wekundu wa kusini mwa Ujerumani, `The Bavarian`, Bayern Munich na mabingwa wa Bundesliga msimu wa 2012/2013 kutwaa ubingwa wa ligi ya mabingwa barani ulaya (May 25,2013) kwa kuwatandika Nyuki wa Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyi Borussia Dortmund mabao 2-1, wamepiga bonge la sherehe na kuwaacha Waingereza wakiduwaa katika ardhi yao.










Hapa Mabingwa wa Ulaya Bayern Wanapolekelewa Nyumba huko Ujerumani baada ya Kuuchukua Ubiongwa huo kwenye mchezo wa fainali ya  Champions League kati ya Borussia Dortmund na Bayern Munich  Wembley Stadium.







No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad