Kesi ya madai inayomkabili Mwanamuziki , 'Lady Jay Dee' yahairishwa mpaka tarehe 13 Juni mwaka huu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, May 27, 2013

Kesi ya madai inayomkabili Mwanamuziki , 'Lady Jay Dee' yahairishwa mpaka tarehe 13 Juni mwaka huu.


Picha juu inamuonyesha mwanamuziki  Nguli wa muziki wa kizazi kipya(Bongo fleva) hapa nchini Tanzania  Judithi Wambura , 'Lady Jay Dee'  kushoto akiwa na mumewake  ambaye pia Ndiyo Meneja wake Gadna G. Habashi  nje ya Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam leo(May 27,2013)  wakisubili kuingia katika chumba cha Mahakaman,kwa ajili ya kusikiliza kesi ya madai inayomkabili ambayo imefunguliwa na Meneja  Utafiti wa Matukio Clouds  Media Group Ruge Mtahabwa  pamoja na Joseph Kusaga, ambapo kesi hiyo imehairishwa mpaka tarehe 13 Juni mwaka huu.


Kesi hiyo ipo chini ya Hakimu Athumani Nyamlani. 




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad