Frank Lampard broke Bobby Tambling’s goalscoring club
record with two second-half strikes to hand Chelsea a 2-1 win over Aston Villa and all but secure a place in next season's Champions League.
|
Frank Lampard akishangilia bao lililomfanya ameweka
historia ya kuvunje rekodi ya Bobby
Tambling ya miaka 33 ya kuwa mfungaji bora wa klabu hiyo ya Chelsea.
|
Bao la 203.
|
Goli
la Dakika ya 88 la kiungo Frank Lampard limemfanya kuingiza jina lake katika vitabu
vya historia kwa kumpiku Mchezaji Bobby Tambling kuwa mfungaji bora wa
kihistoria wa Chelsea (iliyowekwa
kati ya 1959 na 1970) akiifungia magoli mawili timu hiyo leo (May 11,2013) dhidi
ya Aston Villa kwenye mchezo wa Ligi kuu soka Uingereza.
Kiungo
huyo wa Uingereza, aliyeanza kwenye kikosi cha kwanza kuelekea fainali ya
Europa League Jumatano (May 15,2013) huko nchini Uholanzi, kwanza
aliisawazishia Chelsea dakika ya 61 kufuatia Christian Benteke kuifungia Villa
bao la kuongoza dakika ya 14 kabla ya kufunga bao la ushindi na rekodi dakika
tatu kabla ya filimbi ya mwisho.
Sasa
Frank Lampard imefikisha mabao 203 aliyoifungia The Blues,
katika miaka zaidi ya 12 ya kuwepo kwake Stamford Bridge.
Ushindi
huo, unaifanya Chelsea ijihakikishie kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao wa
2013 /2014 ikiungana na Manchester City na Manchester United na sasa kazi
inabaki kwa Arsenal na Spurs kuwania nafasi ya mwisho.
BARCLAYS
PREMIER LEAGUE- RATIBA
Jumapili
Mei 12,2013.
[Saa
9 na Nusu Mchana]
Stoke
v Tottenham
[Saa
11 Jioni]
Everton
v West Ham
Fulham
v Liverpool
Norwich
v West Brom
QPR
v Newcastle
Sunderland
v Southampton
[Saa
12 Jioni]
Man
United v Swansea
Jumanne
Mei 14,2013.
[Saa
3 Dak 45 Usiku]
Arsenal
v Wigan
[Saa
4 Usiku]
Reading
v Man City
Jumapili
May 19 ,2013.***MECHI
ZA MWISHO ZA LIGI MSIMU HUU 2012/2013.
[Saa
12 Jioni]
Chelsea
v Everton
Liverpool
v QPR
Man
City v Norwich
Newcastle
v Arsenal
Southampton
v Stoke
Swansea
v Fulham
Tottenham
v Sunderland
West
Brom v Man United
West
Ham v Reading
Wigan
v Aston Villa
MSIMAMO:
BINGWA TAYARI NI- MANCHESTER UNITED.
NA | TIMU | P | GD | PTS |
1 | Man Utd | 36 | 42 | 85 |
2 | Man City | 36 | 31 | 75 |
3 | Chelsea | 37 | 35 | 72 |
4 | Arsenal | 36 | 31 | 67 |
5 | Tottenham | 36 | 18 | 66 |
6 | Everton | 36 | 14 | 60 |
7 | Liverpool | 36 | 25 | 55 |
8 | West Brom | 36 | 0 | 48 |
9 | Swansea | 36 | 0 | 46 |
10 | West Ham | 36 | -8 | 43 |
11 | Stoke | 36 | -10 | 41 |
12 | Fulham | 36 | -11 | 40 |
13 | Aston Villa | 37 | -20 | 40 |
14 | Southampton | 36 | -11 | 39 |
15 | Sunderland | 36 | -12 | 38 |
16 | Norwich | 36 | -22 | 38 |
17 | Newcastle | 36 | -23 | 38 |
18 | Wigan | 36 | -23 | 35 |
19 | Reading | 36 | -26 | 28 |
20 | QPR | 36 | -28 | 25 |
**QPR & READING TAYARI ZIMESHUKA DARAJA
No comments:
Post a Comment