Vinara wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara, Yanga wabakiza pointi moja tu iweze kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa ligi hiyo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, April 22, 2013

Vinara wa Ligi Kuu Vodacom Tanzania Bara, Yanga wabakiza pointi moja tu iweze kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa ligi hiyo.


Yanga
Vinara wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga jana waliichapa JKT Ruvu mabao 3-0 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na hivyo kubakiza pointi moja tu iweze kutangazwa kuwa mabingwa wapya wa ligi hiyo.



Kwa ushindi huo, hivi sasa Yanga imefikisha pointi 56, ambapo timu ya Azam FC  inayoshika nafasi ya pili ina pointi 47 na ikishinda mechi zake zote zilizobakia itafikisha pointi 56.




Hivyo Yanga inalazimika kushinda au kutoa sare katika mechi ijayo ya Mei 1:2013 dhidi ya Coastal Union ili iweze kutwaa ubingwa wa msimu huu.




Lakini ikiwa Azam FC watatoa sare au kufungwa Mechi yao inayofuata huko Mkwakwani hapo Aprili 27 dhidi ya Coastal Union, basi Yanga watachukua Ubingwa bila ya kucheza Mechi yao inayofuata.




RATIBA


Jumatano Aprili 24,2013.


African Lyon v JKT Ruvu



Alhamisi Aprili 25,2013.


Simba v Ruvu Shooting



Jumamosi Aprili 27,2013.



Coastal Union v Azam FC



Jumapili Aprili 28,2013.



Simba v Polisi Moro




MSIMAMO.


NA
TIMU
P
W
D
L
GD
PTS
1
Yanga
24
17
5
2
31
56
2
Azam FC
23
14
5
4
22
47
3
Kagera Sugar
23
11
7
5
8
40
4
Simba SC
22
9
9
4
11
36
5
Mtibwa Sugar
24
9
9
6
3
36
6
Coastal Union
23
8
9
6
3
33
7
Ruvu Shooting
22
8
6
8
0
30
8
JKT Oljoro
24
7
7
10
-5
28
9
Prisons FC
24
6
8
10
-7
26
10
Mgambo Shooting
23
7
4
12
-7
25
11
JKT Ruvu
23
6
5
12
-18
23
12
Toto African
25
4
10
11
-12
22
13
Police M
23
3
10
10
-10
19
14
African Lyon
23
5
4
14
-19
19
 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad