Hii ndiyo Kumi bora ya Wasanii wenye mkwanja mrefu zaidi Barani Afrika huku Wasanii toka nchini Nigeria wakiongoza zaidi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, April 23, 2013

Hii ndiyo Kumi bora ya Wasanii wenye mkwanja mrefu zaidi Barani Afrika huku Wasanii toka nchini Nigeria wakiongoza zaidi.




1. Youssou N’dour (Senegal)
Muziki ni sehemu ya kazi/biashara inayolipa sana endapo mfumo wa biashara hiyo utasimamiwa vizuri na nchi husika.




Nchini  Nigeria inaonekana kuwa na mfumo mzuri zaidi kwa kuangalia idadi kubwa zaidi ya wasanii walioingia katika Kumi bora  kuliko nchi nyingine. 




Kundi la P Square wameshika nafasi ya pili na kuwa wa kwanza kwa Nigeria, na wasanii wake Peter and Paul Okoye huingiza zaidi ya $150,000 kwa show moja.




Kwa upande wa Afrika Mashariki ni Msanii  Jose Mayanja Chameleone amewakilisha vyema kwa kushika nafasi ya kumi.




Aidha hii ndo list nzima hapa chini..:-




1. Youssou N’dour (Senegal)


2. P-Square (Nigeria)


3. D’banj (Nigeria)


4. Koffi Olomide (DRC)


5. Salif Keita (Mali)


6. Fally Ipupa (DRC)


7. 2 Face Idibia (Nigeria)


8. Hugh Masekela (South Africa)


9. Banky W (Nigeria)


10. Jose Chameleone (Uganda)



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad