![]() |
|
Waziri wa
Fedha Mhe Dkt. Wiliam Mgimwa pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia
Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakitia saini mikataba
hiyo.
|
![]() |
|
Waziri wa
Fedha Mhe Dkt. Wiliam Mgimwa pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia
Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier wakijadiliana jambo
kabla ya kusaini mikataba hiyo.
|
|
Waziri wa
Fedha Mhe. Dkt. Wiliam Mgimwa wakibadilishana mkataba na Mwakilishi Mkazi wa
Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier.
|
Serikali ya
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania yapokea shilingi bilioni 314 kutoka Benki ya
Dunia kwa ajili ya kusaidia miradi ya Umeme, Gesi, Bajeti ya Serikali pamoja na
kuwajengea uwezo wa kuendesha miradi ya gesi.
Mkataba huo umesainiwa (April 19,2013) na
Waziri wa Fedha Dkt Wiliam Mgimwa Waziri wa fedha, pamoja na Mwakilishi Mkazi
wa Benki ya Dunia Tanzania, Rwanda, Uganda na Burundi Bw. Philippe Dongier
Mjini Washington DC.









No comments:
Post a Comment