PICHA:Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowasili i kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wanchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki unaofanyika jijini Arusha. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, April 28, 2013

PICHA:Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro alipowasili i kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wanchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki unaofanyika jijini Arusha.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimkaribisha Rais wa Kenya Uhuru Kenyatta katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro wakati alipowasili jana (April 27,2013) jioni kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wan chi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki unaofanyika jijini Arusha






Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Margareth Kenyatta wakifurahia ngoma za utamaduni muda mfupi bbada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijijini Arusha.


Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Mkewe Margareth Kenyatta wakifurahia ngoma za utamaduni muda mfupi bbada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa nchi za jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika jijijini Arusha(picha na Freddy Maro)

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad