![]() |
| Kamanda Absalom Mwakyoma. |
Akizungumzia
tukio hilo, Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Mara Kamishina Msaidizi Absalom
Mwakyoma amewaambia waandishi wa habari kuwa Aprili 24,2013 saa tatu asubuhi Bakari
'alifanya mapenzi' na kuku jike na kuumuumiza.
Kuku huyo ni
mali ya Bibi Nyamera Kitambara (76).
Mwakyoma
amesema, bibi huyo alishuhudia kuku wake akinajisiwa, kwa kuwa hakuwa na uwezo
wa kumkamata kijana huyo, alipiga kelele, wananchi wakaenda na kumkamata Bakari
na kumfikisha katika kituo kidogo cha polisi Kigera .






No comments:
Post a Comment