NHIF yapeleka Madaktari Bingwa kutoa huduma katika Hospitali ya Rufaa Maweni Mkoani Kigoma, Wagonjwa wamininika kupata Huduma. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, April 16, 2013

NHIF yapeleka Madaktari Bingwa kutoa huduma katika Hospitali ya Rufaa Maweni Mkoani Kigoma, Wagonjwa wamininika kupata Huduma.




Uongozi wa Mkoa, NHIF na madaktari bingwa wakiwa katika picha ya pamoja tayari kwa kuanza kazi ya kuona wagonjwa.




Naibu Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Hamis Mdee akikabidhi vifaa na dawa zitakazotumiwa na madaktari hao kwa muda wa siku saba kwa uongozi wa Mkoa.



Kaimu  Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Ramadhan Maneno akifungua rasmi mpango wa NHIF wa madaktari Bingwa kutoa huduma katika Hospitali ya Rufaa Maweni.



Mganga Mkuu wa Mkoa wa Kigoma Leonard Subi akitoa neno la shukrani kwa NHIF kwa uamuzi wa kupeleka wataalam hospitalini kwake. 



Wagonjwa wakiwa nje  kusubiri kupata huduma kufuatia NHIF  kupeleka  Madaktari Bingwa  kutoa huduma katika Hospitali ya Rufaa Maweni Mkoani  Kigoma ambapo tayari Uongozi wa Hospitari hiyo unayo majina zaidi ya 250  tayari kukutana na Madaktari hao.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad