Jumapili ya tarehe 07,04,2013 itakuwa ni mwaka toka Mwigizaji Steven Kanumba afariki. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, April 06, 2013

Jumapili ya tarehe 07,04,2013 itakuwa ni mwaka toka Mwigizaji Steven Kanumba afariki.


Jumapili ya tarehe saba itakuwa ni mwaka toka mwigizaji Steven Kanumba afariki.




Familia yake na wasanii wenzie wameandaa siku hiyo kwa kuiita Kanumba day ambapo watakutana kanisani kwa misa kanisa la kilutheri huko kimara,chakula cha mchana.




Pamoja na chakula hicho wataenda makaburini kuzuru.




Aidha Jioni pale leades itaonyeshwa filamu yake ya mwisho aliyoigiza kabla hajafariki.Wapezi,wadau wote mnaweza kujitokeza kwani ni bure.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad