|
A
man standing on a roof looks at submerged cars in a flooded street after a
rainstorm in Buenos Aires April 2, 2013.
|
|
A man looks
at cars in a flooded street after a rainstorm in Buenos Aires
|
|
Men
try to remove garbage in flooded street after a rainstorm in Buenos Aires
|
|
A man wades
through a flooded gas station after a rainstorm to six.
|
Kufuatia
vifo hivyo, serikali ya Argentina imetangaza siku tatu za maombolezo ya kitaifa
kufuatia vifo hivyo.
Wakati
huohuo, Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis ametuma salamu za pole
kwa Argentina Kutokana na mafuriko hayo yaliyoikumba nchi hiyo.
Takwimu
zinaonesha kuwa zaidi ya 48 wamepoteza maisha katika eneo la La Plata lililopo
kilometa 60 Kusini mwa Mji Mkuu wan chi hiyo.
Miili
ya waliofikwa na mauti imeanza kuopolewa kwenye maji zoezi ambalo linatajwa
kukabiliwa na vikwazo kadhaa kutokana na miundombinu kuharibiwa na mvua hivyo
na hivyo kikosi cha uokoaji kushindwa kufika kwa wakati.






No comments:
Post a Comment