Arsenal imefanikiwa kuibuka Mshindi kwa Bao 3-1
dhidi ya Norwich City baada ya kutoka nyuma kwa Bao 1-0 na kupiga Bao 3 Dakika
7 za mwisho katika Mechi ya BPL, Barclays Premier League, ushindi ambao
umewafanya wazipiku Chelsea na Tottenham na wao kukamata nafasi ya 3.
Leo
Magoli ya Arsenal yamefungwa na Arteta Dakika ya 85 [Penati],-Giroud 88 na -Podolski
93.
MATOKEO:
Jumamosi 13 Aprili
Aston
Villa 1 – 1 Fulham
Everton
2 – 0 QPR
Reading
0 – 0 Liverpool
Southampton
1 – 1 West Ham
MECHI
ENGLAND RATIBA
Jumapili
14 Aprili
[Saa
8 Mchana]
Newcastle
v Sunderland
[Saa
10 Dak 5 Jioni]
Stoke
v Man United
FA
CUP NUSU
FAINALI: WEMBLEY STADIUM
Jumapili
Aprili 14
[SAA
12 Jioni]
Chelsea
v Man City






No comments:
Post a Comment