Zaidi ya Abiria 50 wa Basi la Sumry litokalo Sumbawanga kuja Mbeya wamenusurika kufa kufuatia Ajali ya basi hilo iliyotokea mpakani mwa Songwe na Mbozi mkoani Mbeya. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, March 03, 2013

Zaidi ya Abiria 50 wa Basi la Sumry litokalo Sumbawanga kuja Mbeya wamenusurika kufa kufuatia Ajali ya basi hilo iliyotokea mpakani mwa Songwe na Mbozi mkoani Mbeya.


Zaidi ya Abiria 50 wamenusurika kufa akiwa na  Basi la Sumry lililokuwa likitoka Sumbawanga kuja Mkoani Mbeya limepata Ajali maeneo ya Songwe mpakani mwa Wilaya ya Mbozi.



Chanzo cha Ajali hiyo ni roli la mizigo la Kampuni ya KANJILA lililokuwa linalipita gari linguine hivyo kuhamia upande lilipokuwa basi la Sumry ndipo Dereva wa basi hilo akaona watagongana uso kwa uso,akaamua  kuliingiza shambani ili kujiokoa katika ajali hiyo.

Muuguzi Bi.Elmat Kakaku amesema  kuwa wamepokea Majeruhi 47 kati ya hao,wawili wamepelekwa katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya baada ya hali zao kuwa mbaya zaidi.






PICHA NA MBEYA YETU

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad