Cheki Picha Jinsi Kinana na Sekretarieti yote ya CCM wakienda Kigoma kwa Treni katika maadhimisho ya Miaka 36 ya CCM. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, January 26, 2013

Cheki Picha Jinsi Kinana na Sekretarieti yote ya CCM wakienda Kigoma kwa Treni katika maadhimisho ya Miaka 36 ya CCM.


Katibu Mkuu wa CCM Kinana akipanda treni kuongoza msafara wa Sektretarieti waliosafiri kwa treni kwenda Kigoma kutoka Dar es salaam jana Januari 25,2013.


Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa, Asha-Rose Migiro akipunga mkono baada ya kupanda treni kutoka Dar kwenda Kigoma
Kinana, Migiro na Nape wakiwaaga wana-CCM na wananchi katika stesheni ya Dar es salaam kabla ya kupanda treni mjini Dar es salaam kwenda Kigoma.

WanaCCM wakimuaga Kinana na msafara wake kutoka stesheni ya reli Dar es salaam kwenda Kigoma.


Katibu wa NEC,Siasa na
 Mahusiano ya Kimataifa,
Dkt. Asha-Rose Migiro 
akiwa ndani ya treni asubuhi hii
akiwapungia mkono WanaCCM
wa Mkoani Dodoma waliofika
kuwalaki na kuwatakia safari
njema Wajumbe wa Sekretarieti
 ya CCM,wanaoelekea mkoani
Kigoma kwa usafiri wa treni
kwenye maadhimisho ya
miaka 36 ya chama cha Mapinduzi CCM


Msafara wa Baadhi ya Wajumbe wa Sekretarieti ya CCM, ukiongozwa na Katibu Mkuu, Abdulrahaman Kinana  kuelekea Mkoani Kigoma katika maadhimisho ya Miaka 36 ya kuzaliwa Chama cha Mapinduzi umefika salama Mkoani Kigoma na kupata Mapokezi makubwa kutoka kw2a wana CCM mkoani hapo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad