Song: Kesho. |
Song: Kesho.
Studio: Mj-Recordz.
{Chorous}
=i> Mi nataka kesho twende
nikupeleke nyumbani
nataka kesho twende
ukamuone mama x2
{Verse
1}
=I> Kwanza kabisa ntanyonga
Tai
T"shirt na Jeans
ntatupa kidogo..
Unite Nasibu usiniite Dai
Asije kukuona muhuni
akapandisha Mbogo...
Naukifika
uagize Chai
Savanna Takila uzipe
kisogo...
Kuhusu mavazi
kimini haifai
Tupia pendeza ila za
Hekima Logo...
=I> Even though wanaponda eti
we ni kicheche
Waambie ndoo chaguo
langu sasa wanicheke x2
Chorous}
=I> Minataka kesho twende
nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende
ukamuone mama x2
{Verse
2}
Usilete swaga za
Nainai
Ukanyoa kiduku kama Moze
Iyobo..
Eti shoping twende Tai
wakati Dadaangu anaduka
kigogo..
Ukikuta Nguna
usikatae
we zuga unapenda hata
kama wa Muhogo..
Kuhusu kabila mbona
Sadai
Mama angu hana noma hata
kama Mgogo
=I> Even though wanaponda eti
we ni kicheche
Waambie ndoo chaguo
langu sasa wanicheke x2
{Chorous}
=I> Minataka kesho twende
nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende
ukamuone mama x2
Bridge
Mama yangu mama...
Mama Naseeb mama...
Mama Diamond mama...
Mama yangu nyumbani...
Mama Chali mama...
Mama Sepetu mama...
Mama Kidoti mama...
Kwa mama Diamond nyumbani...
{Chorous}
=I> Minataka kesho twende
nikupeleke nyumbani
Nataka kesho twende ukamuone mama x2
No comments:
Post a Comment