Mike
Tyson 'Michelle'
ambaye
anayedaiwa
kujibadili
na kuwa mwanamke.
|
Kuna wakati
Tyson alikuwa anajulikana kama “Mtu mwenye sura mbaya zaidi duniani”!
“Watu
wanaona ni ajabu mie kuwa mwanamke hivi sasa,” alisema Tyson ambaye aliwahi
kufungwa kwa kubaka, na ambaye amefanyiwa mabadilko kadhaa ya uso, pua na
viungo vingine kwa masaa 16. Aliongeza
kwamba: “Hata nilipokuwa bondia nilikuwa natamani sana kuwa na matiti na nyeti
za mwanamke.”
Iron Mike au
Iron Maiden kama anavyojulikana sasa aliyasema hayo akiwa ametulia huku amevaa
wigi la kike, suruali ya ‘jeans’ ya bluu na T-shirt yenye picha ya Vanessa
Bruno ambapo alidokeza kwamba mara sehemu zote nyeti za kike zitakapojitokeza
atawadhihirishia Wamarekani kwamba yeye si “mvulana mbaya” tena.
Tyson
ambaye amebadili
jina
na kujiita
Michelle. |
Amesema ameutunza uume wake ulioondolewa katika chupa
ili kuwakumbusha wabaya wake waliokuwa wakimfanyia vitendo vya kuchukiza yeye na “wavulana
wazuri” wengine huko gerezani.
Japokuwa
wachambuzi wa masuala ya ndondi mwanzoni walishangazwa na maneno hayo ya Tyson,
wengi wamekiri kwamba alama za yeye kupenda hivyo zilikuwepo.
“Mmoja
amesema kwamba: “Huko nyuma, alikuwa
anapenda sana kuvaa sana glovu za kike, viatu virefu vya ngozi vya kike
na magauni ya hariri, na pia alikuwa ni mtu mwenye kupenda sana heleni.”
Chanzo: www.newsbiscuit.com
No comments:
Post a Comment