Baadhi ya
lipstick
zilizobainika
kuwa
na madhara
|
Wataalamu
hao wamesema kuna umuhimu mkubwa wa kupunguza matumizi ya Lipstick, hasa kwa
wanawake wajawazito na watoto wa dogo, mmoja ya wataalamu hao akielezea madhara
yaliyopo katika kipodozi hicho pendwa kivutio cha wengi amesema, kila lipstick
moja ina Material 55% ya madhara kwa afya ya mtoto.
Uchunguzi
uliyofanywa na wataalamu hao katika mashirika 22 makubwa duniani
yanayojihusisha na utengenezaji wa kipodozi hicho, umebaini kwamba mashirika 12
kati ya 22 yanatumia material yenye madhara kwa watoto, miongoni mwa madhara ya
kipodozi hicho, ni kudhofika kwa akili ya motto na kupunguwa uwezo wa
kujifunza.
Katika siku
za hivi karibuni midomo imekuwa sehemu muhimu sana katika kukamilisha urembo na
unadhifu wa wanawake, lipstick imekuwa inawafanya waonekane wana mvuto zaidi na
kuongeza kupendeza katika muonekano wao.
No comments:
Post a Comment