Abiria wanusurika kifo baada ya basi kutumbukia kwenye Korongo Babati. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, December 08, 2012

Abiria wanusurika kifo baada ya basi kutumbukia kwenye Korongo Babati.



Abiria watatu kati ya 65 waliokuwa wakisafiri kwa bus la Coastline lililokuwa likitokea mkoani Tabora kuelekea mkoani Arusha wamenusurika kifo baada ya bus hilo kutumbukia kwenye korongo kufuatia kupasuka kwa gurudumu la mbele.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad