Hivi ndivyo hali ya kijana Susuruka aliyetafunwa sehemu kubwa ya uso na Mwajiri wake na kulazwa katika hospitali ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma ikiendelea Vizuri. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, December 08, 2012

Hivi ndivyo hali ya kijana Susuruka aliyetafunwa sehemu kubwa ya uso na Mwajiri wake na kulazwa katika hospitali ya wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma ikiendelea Vizuri.


Hali ya kijana Susuruka aliyelazwa katika hospitali ya wilaya ya Kibondo Mkoani Kigoma inaendelea vizuri baada ya vidonda vyake kuendelea kupona kwa hivi sasa pia anaweza kuongea japo kwa shida isipokuwa macho yake ndio bado hayajaanza kuona.



Aidha Kijana  huyo Susuruka alijeruhiwa kwa kuliwa nyama za sehemu ya uso wake na mwajiri wake aliyekuwa akimfanyia kazi ya kuchunga ng’ombe katika kijiji cha Muhange wilayani Kakonko mkoani Kigoma.



Hivi sasa Susuruka anendelea na matibabu ns pia anahitaji maombi yenu na msaada wenu .



Tunaomba radhi kwa picha hii

 ya kijana aliyetafunwa

na tajiri yake.



Kama unachochote fika hospitali ya wilaya ya Kibondo ili utoe sadaka yako,Kwani kumsaidia ni moyo na si Utajiri.



Picha na:http://jamesjovin.blogspot.com.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad