 |
Mwenyekiti
wa BAVICHA Taifa, John Heche akiongea na wafuasi wa Chadema kwenye ofisi za
chama hicho eneo la Kingo.
|
 |
Mama huyu
nae aliamua kuwaunga mkono Wanachadema.
|
 |
Wafuasi wa
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) mkoani Morogoro, jioni hii
wameandamana kwa amani kutoka maeneo ya Nane Nane walipokwenda kumpokea
Mwenyekiti wa BAVICHA Taifa, John Heche hadi ofisi za makao makuu ya chama
hicho ya mkoani hapa, yaliyopo mtaa wa Kingo. Baada ya kufika kwenye ofisi
hizo, Heche alizungumza na wafuasi wa chama hicho.
|
 |
| Maandamano
yakiongozwa na askari waliokuwa wakidumisha ulinzi. | |
(PICHA ZOTE NA DUNSTAN SHEKIDELE / GPL).
No comments:
Post a Comment