Aunty Ezekiel, amewaomba radhi mashabiki wake baada ya Picha zake Mbaya kusambaa Mtandaoni. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, September 14, 2012

Aunty Ezekiel, amewaomba radhi mashabiki wake baada ya Picha zake Mbaya kusambaa Mtandaoni.


“Nimeziona kwa kweli ni picha ambazo zinaonesha umbo langu lakini nachoweza kusema kwa sasa ni kwamba nanaomba msamaha mashabiki wangu wote kwani kilichotokea ni kwa sababu ya pombe na nimejifunza kutokana na makosa,” alisema Aunty.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad