Waziri Mkuu Mizengo Pinda Aongoza Mamia Kumzika Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti,Kapteni James Yamungu Kibaha . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, August 26, 2012

Waziri Mkuu Mizengo Pinda Aongoza Mamia Kumzika Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti,Kapteni James Yamungu Kibaha .


Mwili wa Aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Serengeti, Marehemu Kapeni James Yamungu ukiwekwa kaburini katika mazishi yaliyofanyika Kibaha.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akiweka shada la maua  kwenye kaburi la aliyekuwa Mkuu  wa Wilaya ya Serengeti Kapteni James Yamungu katika mazishi
yaliyofanyika Kibaha.

Waziri Mkuu Mizengo Pinda akimpa pole Betty  Yamungu  mjane wa  aliyekuwa Mkuu  wa Wilaya ya Serengeti Kapteni James Yamungu.



Chanzo:mwanawaafrika.blogspot.com


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad