Jiandae kuhesabiwa KESHO,SENSA kwa maendeleo ya Taifa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, August 25, 2012

Jiandae kuhesabiwa KESHO,SENSA kwa maendeleo ya Taifa.



Wakati ukiwa katika mapumziko ya mwisho wa wiki tunakukumbusha kuwa zoezi la Sensa ya watu na makazi inafanyika nchi nzima kwa muda wa siku 7 kuanzia kesho Agost 26 mwaka huu. Toa ushirikiano kwa maafisa wa Sensa watakaofika katika makazi yako ili kurahisisha zoezi linalosaidia katika kutambua idadi ya watu hivyo kusaidia katika usambazaji wa huduma kwa Watanzania wote.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad