Uwanja wa michezo wa shule ya msingi Ruganzo. |
Baadhi ya Wanafunzi wa shule ya Msingi Ruganzo iliyopo kata ya Kibimba wilayani Ngara mkoani Kagera wakifanya mazoezi ya mchezo wa soka katika uwanja wa shule hiyo.
Kwa mbali ni tenki la maji ambalo hutumika kuhifadhia maji ya mvua. |
Baadhi ya wanafunzi wakitoka madarasani. |
Zahanati ya Ruganzo. |
Hili ni kanisa la RC Ruganzo. |
Shule ya msingi Ruganzo ikionekana kwa mbele ambapo hapo ndo uwanja ambao wanafunzi hujipanga paredi. |
No comments:
Post a Comment