![]() |
Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akishuhudia zoezi la
utiaji saini Mikataba mbalimbali ikiwemo Ujenzi wa Meli mpya ya abiria na
mizigo, Chelezo, ukarabati wa Meli za Mv Victoria na Mv Butiama, Mikataba
ambayo ilisainiwa kati ya Kampuni ya Huduma za Meli Tanzania Marine Services Company
(MSCL) na Kampuni tatu za Korea
Kusini ambazo ni M/S STX engine Co ltd, Saekyung Construction ltd na KTMI Co
ltd.
Awali
aktoa maelezo ya mikataba hiyo kabla ya kusainiwa Meneja wa Kamuni ya Huduma za
Meli hapa Nchini Bw Erick Hamis amemueleza Rais Magufuli kuwa meli hiyo kubwa
itakuwa na uwezo wa kubeba watu takribani 1,200 na tani 400 za mizigo pamoja na
magari madogo 20.
BOFYA PLAY HAPA CHINI KUMSIKILIZA BW.HAMIS. |
Post Top Ad
Tuesday, September 04, 2018

Rais Magufuli -Meli Mpya Kanda ya Ziwa Itapunguza Gharama za Usafirishaji.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
Makala Inayofuata
Aporwa Fedha za Kanisa na Majambazi wilayani Kibondo.
Makala Iliyopita
Watuhumiwa wa Mauaji ya Mwanafunzi Mahakamani Bukoba.
Muonekano wa Uwanja wa CCM Kirumba Jijini Mwanza.
AnonymousDec 10, 2019Viongozi Wilayani Kasulu watakiwa Kuimarisha Usalama Katika Korongo la Bolelo.
AnonymousJun 29, 2019Shirika la Ndege la Tanzania Laanza Safari za Afrika Kusini Leo 28/06/2019.
AnonymousJun 28, 2019
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment