![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhYxogKkBl_M8ZSqmL04PP0GNejsjZoLSbRm7zMh0aGUTgdn_jgU01unL-1fK4kbjnSBzcPWa01362a32jOtEkm1WgRPxTNErYbi3Sb0UdMFZarE7l-CgVURyA2Zri508-dk80y5OuURiGX/s640/33197422_1869193756453859_6848467010083356672_n.jpg)
Viongozi wa Kata
ya Bulega mkoani Geita wakiwa kwenye Mkutano wa Hadhara wa kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Polisi
ndani ya Kata hiyo.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEj7pVIwVp-hcSu9z5YEMDxTmTyIUKhzMU26XopUwxv7FaVwU7JoRdA11NfLAVRiINh1Z14aFO9rwISun_J_70qQ5CXPmXkSkNPiqKmxTVyYXhmli4zQzf2i3mXrtOEoVoPqndoyU9iMLG2u/s640/33362075_1869193729787195_3674255478466019328_n.jpg)
Wakazi wa Kata
ya Bulega mkoani Geita wakiwa kwenye Mkutano wa Hadhara wa kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Polisi
ndani ya Kata hiyo kutokana na kuendelea kuvamiwa na Watu wasiojulika na
kuporwa mali zao ambapo shilingi million 10 na laki 4 na elfu arobaini
zimechangwa kupitia mkutano huo huku matarajio yao yakiwa ni kukusanya million 26,laki 7 na elfu
40.
Picha Na
Gibson Mika –Radio Kwizera Geita.
![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhN8TsTVPG6oskxrXcz7wkKHeaz1tkeoRTNokfevYSFU6-hNETjgGe4sIklanGt6jTZsRkWN2_fmhr71n9U2uYG-BFkvbxGnHO0k78KxtdAQHTR12d8T7QmOCMybBT6P0xBBTF-LAwNfFH0/s640/33170060_1869193733120528_8910857048028086272_n.jpg)
Wananchi wa Kata
ya Bulega mkoani Geita wakiwa kwenye Mkutano wa Hadhara wa kuchangia Ujenzi wa Kituo cha Polisi
ndani ya Kata ambapo shilingi million 10 na laki 4 na elfu arobaini
zimechangwa kupitia mkutano huo huku matarajio yao yakiwa ni kukusanya million 26,laki 7 na elfu
40.
No comments:
Post a Comment