![]() |
Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya
Ngara mkoani Kagera katika Picha ya Pamoja
na Wawezeshaji wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III).
Mfuko huo
una mpango wa kuongeza kipato, fursa na uwezo wa kugharimia mahitaji ya kaya za
walengwa, kupitia utekelezaji wa uhawishaji fedha na ajira za muda, mpango wa
kuweka akiba na kukuza uchumi, kuboresha miundombinu pamoja na kuwajengea
uwezo.
Mafunzo
hayo yatadumu kwa Siku tano kuanzia May 21-25, 2018, na kuwashirikisha wakuu wa Idara
ya Halmashauri ya Wilaya ya Ngara, Waheshimiwa Madiwani, Wagani pamoja na Walengwa
wa Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF III).
|
Wednesday, May 23, 2018
![](https://1.bp.blogspot.com/-7Kd9qaiRHuA/WaEtZyc70TI/AAAAAAAADsA/7WUYBVoY-UwwjdEP3kDFPvH9htN0dDKgQCLcBGAs/s1600/demo-image.jpg)
Mfuko wa Maendeleo ya Jamii (TASAF) Wapongezwa kwa Kazi Nzuri wilayani Ngara.
Tags
# HABARI
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
HABARI
Labels:
HABARI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.
No comments:
Post a Comment