![]() |
Diwani wa Kata
ya Kibogora Adroniz Bulindoli.
|

![]() |
Wamama wa Kihinga wilayani Ngara mkoani Kagera wakitoa burudani wakati wa mkutano huo.
Hata hivyo Kaimu
Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Ngara, Gidion Mwesiga alisema mkakati wa kupunguza vifo kwa wilaya hiyo
umeanza baada ya Serikali kutoa Shilingi milioni 800 kuboresha kituo cha Afya
Mabawe na Murusagamba sambamba na vituo vingine vitakavyo boreshwa ni Bukiriro,
Lukole, kisha kujenga kituo kipya Kata ya Rusumo na kwamba zaidi ya zahanati za
vijiji 16 zimefikia hatua mbalimbali za ujenzi.
Mgeni rasmi katika mkutano huo, Mkuu wa wilaya
ya Ngara Michael Mntenjele alisema
serikali inaendelea kutafuta fedha kijenga miundombinu katika sekta za afya,
hivyo wajawazito wajitahidi kuwahi vituo vya kutolea huduma kuepukana na vifo
visivyo vya lazima.
|
Picha Na-RADIO KWIZERA.
No comments:
Post a Comment