![]() |
Alielekeza
kila Mkoa na Wilaya hapa nchini kuwa na siku ya usafi kwa kila wiki na Jumamosi
ya mwisho wa mwezi Nchi nzima kufanya tathimini ya ukaguzi wa usafi katika
mazingira na kwamba atakayezembea kufanya na kuhimiza usafi atozwe faini kwa
mujibu wa kanuni za kuhifadhi mazingira.
|
![]() |
Baadhi ya
watu waliohojiwa wamesema ni jukumu la halmashauri kujenga kizimba na kuzoa uchafu
huo hadi nje ya eneo hilo kuwaepusha na magonjwa ya mlipuko kama kipindupindu na maradhi yatokanayo na uchafu
Nimepita tu
na kuelekea mitaaa mingine nashauri tu mamlaka zinazohusika tembelea soko hilo
kiafya ni hatari wakati wananchi wakihitaji kupata huduma , kwanza haliko
kwenye viwango lakini halmashauri bado inawatoza ushuru kujiongezea mapato ya
ndani.
Picha Na Shaaban Ndyamukama.
|

No comments:
Post a Comment