Mvua ya Mawe Yaleta Maafa Biharamulo mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda
cV7ufzj

Muhtasari

X-BET

MAIN-

Post Top Ad

cV7ufzj

Saturday, April 28, 2018

demo-image

Mvua ya Mawe Yaleta Maafa Biharamulo mkoani Kagera.

.com/simgad/
Db3psuwXkAArhK6
Kaya 150 za mkoani Kagera leo April 28, 2018 Jumamosi zimejikuta paa za nyumba zao zikiezuliwa na mvua ya mawe ambayo inaendelea kunyesha Biharamulo mkoani humo, pia mvua hiyo iliambatana na upepo mkali.

Ekari 460 za mashamba ya mazao ya Pamba, Mihogo, Alizeti na Mpunga zimeharibiwa vibaya.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Contact Form

Name

Email *

Message *