![]() |
Mamia ya
abiria kutoka Jijini Dar es salaam kwenda mjini Kigoma, na kutoka Kigoma kwenda
Tabora wamekwama kuendelea na safari zao baada ha magari waliyokuwa wakisafiria
kukwama katika pori la Kazulambwa mkoani Tabora baada ya mvua zinazoendelea
kunyesha kupelekea maji kujaa na barabara kukatika.
Kwa taarifa
zaidi ni kwamba tatizo Hilo lina takribani siku 4 sasa licha ya juhudi
zinazoendelea kuhakikisha linatatuliwa na abiria kuendelea na safari zao kama
kawaida.
Picha/Habari
Na -Radio Kwizera
|










No comments:
Post a Comment